Search

37 results for Christina Thobias :

  1. Wajawazito wapigwa marufuku kuonekana vilabuni Iringa

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Halima Dendego amewaagiza wanawake wote kuwa wasimamizi na walinzi, kwa kuhakikisha wajawazito hawanywi pombe kwani ndio sababu ya kuzaa watoto wenye udumavu na magonjwa...

  2. Askari anusurika kifo akishambuliwa na Simba

    Makwati amesema waligundua kuwa simba yupo eneo hilo na ili kumdhibiti walimpiga risasi za moto jambo ambalo lilimchochea mnyama huyo na kumkimbilia Mafuru kwa kasi na kumjeruhi usoni na mkononi.

  3. Mbwambo:  Miaka mitatu inatutosha kumpa shahada mwanafunzi wa sheria  

    atika hafla ya kusherehekea miaka 25 ya Kitivo cha Sheria katika Chuo Kikuu cha Iringa, Makamu Mkuu wa Chuo hicho Andrew Mbwambo amesema chuo hiko kitaendelea kutoa shahada ya sheria kwa miaka...

  4. Mbunge: Simba wavamizi wasakwe, waingia Kilolo

    Mbunge wa Jimbo la Kilolo mkoani Iringa, Justin Nyamoga ameiomba Serikali kufanya jitihada za kuwasaka simba wavamizi ambao bado wanaendelea kuua mifugo katika vijiji mbalimbali katika wialaya za...

  5. Mbunge Kilolo: Simba wavamizi wasakwe

    Mbunge wa Jimbo la Kilolo mkoani Iringa, Justin Nyamoga ameiomba Serikali kufanya jitihada za kuwasaka simba wavamizi ambao bado wanaendelea kuua mifugo katika vijiji mbalimbali wilayani za...

  6. Wanakijiji Iringa watakiwa kukoka moto, kutotembea usiku kujilinda na simba

    Kutokana na hofu ya kuvamiwa na simba, Serikali ya Kijiji cha Lupembe Lwa Senga, Kata ya Lyamgungwe, wilayani Iringa imetoa rai kwa wananchi kurudi majumbani kwao ifikapo saa 11 jioni wakati...

  7. PRIME Simba wavamizi sasa wasakwa kwa helikopta

    Siku 11 tangu simba walipovamia baadhi ya vijiji vya Kata za Kiponzelo, Maboga na maeneo ya Tanangozi, Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Veronica Kessy ametoa tahadhari kwa wananchi kutotembea usiku na...

    New Content Item (1)
  8. Helikopta kusaka simba waliovamia vijiji

    Helkopta imeanza kutumika katika kutafuta simba waliovamia vijiji mbalimbali katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.

  9. Mhifadhi: Mbwa Mayele katusaidia kuwaona simba wavamizi

    Siku chache baada ya Simba kuvamia vijiji mbalimbali katika Kata ya Maboga wilayani hapa, doria iliyofanywa kwa usaidizi wa mbwa alinayeitwa Mayele, yatajwa kuleta mafanikio baada ya kuonekana...

  10. Idadi ya ng’ombe waliouliwa kata ya Maboga yafikia 11, wanakijiji hofu yazidi

    Wakazi wa vijiji mbalimbali katika Kata ya Maboga Jimbo la Kalenga Wilayani Iringa wamesema hofu imezidi kutanda kutokana na ng’ombe wao kuzidi kuvamiwa na kuuawa hali ambayo inawafanya kushindwa...

Page 1 of 4

Next